1 Samuel 22:1

Daudi Akiwa Adulamu Na Mispa

1 aDaudi akaondoka Gathi na kukimbilia kwenye pango la Adulamu. Ndugu zake na watu wa nyumba ya baba yake waliposikia habari hiyo, wakamwendea huko.
Copyright information for SwhNEN